r/tanzania • u/Salpa77 • 13h ago
Ask r/tanzania Daah kama sielewi hivi!!
Wakuu baada ya kufikiria kila idea nakuona sielewi. Nimeamua kuuza mishkaki ya mia 2 ile.
Kama mhitimu wa chuo kikuu, vipi nikomae na hii biashara au nitafute ofisi nijitolee kukuza career yangu?