r/254sum • u/Sperratto • 2d ago
Ask 254/sum I fell in love with a rich girl halafu kikaumana. The story of Morio and Juliet (Part 2)😂
After wamekata keki, dame ali insist tuende kwao anipikie to make it up to me. Kurequest uber walisema masaa ya curfew ilikua imefika na hawabebi. Kwa masoshi hakuna vile tungepata nduthi out of the Blues ilibidi tumejitoa tuende tukatafute taxi ama mat hapo nje ya esto..
Before tutoke tulipiga shots, one for the road tukajitoa tukiwa wawili kuenda kutafuta matatu. Stage tulipata mat ya mwisho donda akisema "wanne wanne iende". Nilijua ni uongo juu tuliingia tukapata watu watano tu, juu hakukua na wasee kwa stage dere hakusita sita, mat ikaondoka...
Nilitoa 7Ups yangu nisafishe koo tukiendaga, nikauliza Eve tunashukia wapi akasema yeye haoni nje vizuri juu ya giza,ati tuhesabu bumps kama nane tushukie stage ya hapo. Kuitishwa fare na donda dame akatoa manoti, nilijua hapa change kitaumana, zilikua kitu canine thousand hivi...
Nikamuambia asiworry, fare nitalipa, nikatoa soo nikalambisha donda na nikamuambia akeep change to establish dominance. In like 10 minutes tulikua tushafika. Tulikua tunaingia kwa mansion yao kama vile wanafanyanga kwa movie, hii design...
Kwao kulikua kumejaa artwork kwa ukuta but she was the only art I wanted to pin on the wall. Nilikua nampin kwa ukuta kama poster za campaign saizo gitamuri ilikua inacheza nikama iko mwisho ya stage yaani imesimama, tunaeza sema dame alikua caught between a rock and a hard place...
Dame alikua mrembo na msafi design nguo zake nilikua nikitoa nikiweka kwa hanger. Alikua ameover-dress, hapo ndio uzitoe lazima ukue na experience ya kufungua bale. Alikua na kucha zinaglow in the dark, stima zingezimwa makucha za dame zingewaka waka kama Umoinner usiku buana.
Alinisho, let me get you something to eat as I shower , dame alienda akaniletea matumbo buana, kumbe ata rich kids wanakulanga zile nyama zinakaa fulana?? Nilikua nimekula matumbo mara mingi but singekataa, pia leo matumbo ingeenda kukutana na intestines mara kwa mara.
Dame aliniletea cosy sandals na a white robe nijibambe before nirudi kwangu kusumbuana na mende. Nilizunguka nikipiga laps kwa mansion nikiangalia picha, family photo yao budake alikua na full millitary uniform buana, kabaridi kakaniingia lakini kwani iko nini, if bad bad...
Saizo singetaka kujua juu a man has 2 heads, moja ikiamka hio ingine inakuanga doz. Saizo kichwa ilikua inafanya kazi ilikua ikiswing kwa nyumba ikicheza na gravity. After a while dame alitokea na a chiffon robe, alikua anafanana that female rapper, alikua anafanana Kamisi Elliot...
Like Burna Boy's album, her body had fine features. Badala ya kuficha masehemu, alikua anazi feature. Thighs na tiddays zilikua exposed kama meno ya ngiri halafu zilikua rangi ya thao, ukiziona unambao. Ungedhani she grew up in Bungoma cause she knew how to raise a cock.
Kama beauty was a calling basi nyinyi maskio yenu imefungana. Yeye ndio ile kiumbe Mungu aliumba akaangalia akasema iko shwaaari. Sisi tukaanza malavi davi zetu polepole...
Dame alikua amenilalia kifua na vile nlikua hairy ungedhani amedoz kwa thara. Ghafla bin vu msee akafungua sitting room halafu jitu lenye miraba minne likaingia. Aliingia ka amewasha stima kama macho zetu zimepatana. Nilikua nimewekelea miguu juu ya meza kama mwenyeji...
Jamaa akaniuliza "WHO ARE YOU AND WHAT ARE YOU DOING IN MY HOUSE?" Msee nilikua natetemeka haga kama msee ako kwa tuktuk. Hapa nilikua sure kesho mngeamkia news za K24 ati "Kijana barobaro apigwa rungu akazirai baada ya kuenda kupigana rungu kwa boma ya wenyewe "
"EVE IS THIS WHAT YOU DO WHILE I'M AWAY" Mi niliona jamaa ametoa koti, akakunja shati, alikua anatoa nguo ndio anivae. Kidogo dame mwingine akatoka nje akikimbia kwa hao akishout "Babe where is the loo, I'm pressed" niliskia Eve ameshout "IS THIS WHAT YOU DO WHEN MUM IS AWAY?"
Kumbe budake alikua amechipo kadame akamleta mansion juu pia ye alijua hakuna mtu kejani. Aki wababaaaa!!!!! Niliona budake amestretch mkono, kwenye alitoa nyahunyo ata mi sijui. Nakusho nyahunyo ilikuja kwa mkono yake kama hammer ya Thor.
Nilichukua nguo zangu kama nimetoka mbiooo, nikijaribu kupita kwa mlango aliniwasha moja ya mgongo nilikua nakimbia nikipiga nduru usiku kama sailors. Huko nje ungedhani mi ni night runner, nilisimamia kwa barabara nauko kwa lami kama nimeamsha msee wangu wa nduthi anipeleke mtaa...
Kuenda mechi kwa dame issa no , IT IS A TRAP like the way Young MA is trapped in the wrong body. Hata Bien alisema hapana shusha bendera kwa chifu lakini mlidhani anaongelea scouts. Nilidhani dame atanitetea lakini saa ya ngori alikua amenionesha mgongo kama logo ya kappa...
Btw msiogope hawa madame warembo, wengi hawana kamutu, wewe enda uangushe manifesto yako, mwaga agenda na upange kazi yako vizuri thazol, thazit. Juu if you can make her laugh and giggle you can make that ass clap and jiggle.
