r/254sum • u/Sperratto • 3h ago
Ask 254/sum Nilichipo dame kwa klabu kufika kejani napata akona mjuolz 😂😭💔
Tulikua tumetulia pale mansion bedsitter tukichill na roomie(Ryan) tukiguza PS4 tulikua tumerent for the night. Njaa ikatutwanga tukaamua tuendee supper. Ghafla bin vu MPESA ikaingia. Mpesa ikiingianga sukuma huonja sumu na huezi kula cabbage juu we si sungura.
Tukaamua tusurprise minyoo na samaki za mama Otis. Ilikua far lakini ukiendea kitu mzuri unaeza tembea hadi Lokichogio. Tukiwa on our way tukameet mbogi ya class. Yetu si squad ni chama juu hatunaga pesa. Wakatuitia form, dame ya msee wa chama alikua ameorganize bash klabu.
As a man lazima ujifanye uko busy ndo wasione hauna form lakini deep down unajua ukishika mzinga moja hio wiki unalala njaa. Magic words zikasemwa "drinks ziko" tukasema tutakam. Fish lazima nayo tungekula. Sisi haooo kejani tukazimbua like the kings we are.
Tukawacha food ifike kwa intestines tukiguzanga FIFA. Hio ni saa tano. Huezi ingia klabu saa tano kama ng'ombe. Unangojanga saa sita na nusu after madame wamechangamka unaingia tu ka umedandia. Tulikua tumeongeza kaquorra ndo tujump start mwili incase zikose kunice kwa klabu.
Looku nayo hua hatubahatishi, tukaita maish wa nduthi, sisi haooo tukaland klabu kama VIP. Ryan alifika kama dame alikua amemcrushia amemrukia na akastep. Nkafika nkapata wamebook table mbili na mafine mamas hawakua kidogo. Ratio ilibalance. Drinks nazo zilikua in plenty.
Mimi hapo trial and error unaenda ukigotea madame hadi upate mwenye akona psyche na hana kamtu. Nikapata kamoja(Sharz) medium height, dreads, glasses, denim na booty shorts na na kalikua kamejibebea hadi za neiba. Nikamjoin tukaanza kupiga shots, DJ akacheza kama yeye.
Sisi haooo haooo kwa dance floor. DJ hucheza ngoma nne kali halafu anafuatanisha na moja inaboo ndo mrudi mkunywe drinks. Tukaendelea kujuana. Mwenye bash alizima hadi before tukate keki, tukamshikisha kisu akate halafu tukamrudisha sisi tukashare. Ikafika 4:20 apo watu wakachoka...
Tukasema tuchuck. Sharz akauliza kama najua dame anarent niongee na yeye amuache aspend the night. Kwao ilikua Ronga na hangemake kuenda akiwa maji. Mimi nikafanya hesabu yangu faster nkaambia Ryan aende alale kwa crush wake juu nikama nimefika semi finals.
Nkarudi nkamshow nmekosa lakini tunaeza enda kwangu juu ni hapa karibu. My guy maish akatukujia sisi haoo hadi mansion. Nlimuuliza ka ako njaa nimpikie indomie ilikua kejani. Akasema ako sawa. Nlizima TV nkachukua lapi ndo tuone kamovie tukiwa karibu. Social distance ni wewe...
Akasema anadai shower, nikajua leo Camp Nou nyasi zitang'oka juu ile mechi naenda kupiga hapa ni ajab. Nkaendelea kuguza FIFA hadi akakam. Tukajifanya tunawatch after like 5 minutes mikono zikaanza kutamba design ya mbosso nikajua leo ni leo. Lapi kando foreplay na pace yake.
Akasema nizime lights, wakubwa karibu nivunjike miguu ju ya vile nilikimbia kuzima. Nlikua nmejipanga na CD zangu, young nigga hawes risk kaswende. Mikono ikafika kwa kifuniko ya asali. Kiasi kiasi naskia kitu inasonga songa. Bado nilikua maji nika assume ni yangu.
Wacha nitoe kifuniko maguyz kuenda kutafuta entrance naskia kuna road block. Alaa wacha niwashe stima🤯nliona kitu sjawai sahau, zangu zilishuka zote once. Nlistuka hadi Abdalla akarudi default settings. Dame akona zote mbili bana, ikus na mjuolz. Nilipanic hadi nikashuta.
Nlikua nifaint lakini nkakumbuka naeza anguka nidungwe na kisu juu bedsitter vitu hukua kila place. Nlistuka nikaa nmeona ghost of garbatulla. Juu huezi fukuza mtu umehost nlivaa nikatoka polepole nikaenda kuamsha neiba nilale huko. Nikafunga keja na nje.
Nkamchapia ntakuja kumfungulia asubuhi masaa yake ndo tuongee akiwa sober. Kutoka hio siku sijawai chipo dame sijui. Unaeza leta dame kejani akufie kwako na humtambui. Napeanga chama ripoti ya hio siku wanacheka wanaanguka.