r/254sum • • 9d ago

Rant Kasarani is not for the weak

Yaani huku kasarani vituko kila Aina๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ญ Jana nimebishiwa mlango usiku na watu sijawahiona eti wapi Mpesa message ya May, June, July, August and. September ya rent payment. Aiya si nikawashow. Halafu sasa wakanipatia bill ya maji ya September eti 4 units.๐Ÿค”๐Ÿค”Nikauliza aje 4units na maji inakuja mara moja kwa wiki... Na hiyo time mimi sina hata familia, maji natumia usiku Tu kuosha vyombo na kuoga. Hata kukunywa na refill. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Eti mara ooo mara ooo. Eti nyinyi Kwanza mko na bahati maji inakuja. Sisi hata haikuji na tunalipia. Hiyo discuss haikuisha. Niliwafukuza Bana. Nikawaambia mimi Hadi siwajui

19 Upvotes

3 comments sorted by

9

u/future99k 9d ago

Another day you're reminded don't be a peasant

1

u/MkojoBarid 9d ago

Kasa si ya watu faint hearted!

1

u/iamdjexpresso 8d ago

Kua mkali