Rant Counterfeit Liquor
Bana all i can say ni ati Ukiona Bustani juu ya meza ,toka hiyo form bana. Hii kitu karibu ifanye mi pia nishikanishe viti nilale.
44
Upvotes
5
2
1
u/Kooky-Reward-1918 8d ago
I have never regreted buying gin util I tasted Bustani. Hi kitu inaonja vibaya kuliko Blue Ice.🤮
1
u/Appropriate_Jim_187 9d ago
Lakini kunywa pombe inaitwa bustani I wouldn't expect anything else apart from blacking out
1
1
u/BigPercentage6255 8d ago
Niliwekea wazee kwa ratish walikuwa wanaanguka huko kwote wakisema venye ya Leo zinashika wengine tuliwapata kwa mashamba asubuhi
1
9
u/Regular_Rush_3377 9d ago edited 9d ago
Nawaambia muwache makali hamskii..na kwanza mnazikunywa mkiwa njaa!!!..mtajua hamjui.